Yesu alisema waacheni watoto wadogo waje kwangu wala msiwazuie maana ufalme wa mbinguni ni wao.Inawezekana kabisa ikawa wewe ndiyo sababu ya watoto wengi kuharibika, au ukawa wewe ndiyo sababu ya watoto wengi kupotea, watoto wadogo hawajui chochote wanachohitaji wao ni kuanza na Mungu toka wakiwa wadogo.
Hakuna maoni: