Maombi ndiyo nguzo pekee ya kukufanya mtu wa Mungu usiingie kwenye majaribu,
zipo aina nyingi za majaribu, Majaribu ni kipindi ambacho mtu anapimwa kutenda kinyume cha Neno la Mungu, au kipindi kigumu anachopata mtu afike mahali aachane na imani yake ndani ya Yesu.
Watu wengi leo wanaingia kwenye majaribu ni kwasababu tu hawaombi, wengi wamenaswa na mitego ya shetani baada ya kuacha kitu kinaitwa maombi.

LUKA 22:40.
Alipofika mahali pale aliwaambia ombeani kwamba msiingie majaribuni.
Yesu anasema ombeni kwamba msiingie majaribuni, Kunamajaribu hupaswi kuingia mtu wa Mungu ila kwanini unaingia ni kwasababu ya kukosa maombi, Maombi yanauwezo wakukufanya majribu yasikufikie kabisa.
Umefika mahali unaona mpaka wokovu mgumu unataka hadi kukata tamaa chukua hatua sasa uanze kuomba, ukisimama katika maombi majaribu yote yanayosababishwa na kutokuomba yatayeyuka maraa moja, unatembea ndani yako moyo wako ni mzito sana, ukiingia kuomba huo uzito utayeyuka utahisi wepesi .

NANI NI MJARIBU?.
Shetani ndiye mjaribu wa watoto wa Mungu, ndiye anayepambana usiku na mchana kuhakikisha mtu wa Mungu unapitia vipindi vigumu, ili mradi tu urudi nyuma,ukiona unakata tamaa maana yake shetani amefanikiwa kwenye kazi yake.

MATHAYO 4:3.
Mjaribu akamjia akamwambia, ikiwa ndiwe mwana wa Mungu liamuru
jiwe hili liwe mikate.
Yupo mjaribu kwenye maisha yako, ambaye anapima imani yako, huna ujanja mwengine wa kumshinda huyu mjaribu isipokuwa kwa kuomba.

Katika sala ya Baba yetu Yesu anasema unapoomba, omba hiv
MATHAYO 6:13
Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu
Yesu anasema omba usikutane na vipindi vigumu katika maisha, omba usikutane na njia panda, omba uepushwe na yule mwovu. shetani ndiye mjaribu ni kweli hana nguvu kuliko wewe lakini kutokuomba ni kumpa nguvu shetani ya kuendelea kushikiria maisha yako.

KWANINI UOMBE?
Umewahi kujiuliza kwanini uombe, au kwanini ukiomba sheatani hawezi kukufikia?
Zipo sababu za kimaandiko zinazokufanya uwe watofauti kila unapoingia kwenye maombi.

LUKA 22:42-43.
Ee Baba ikiwa ni mapenzi yako uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi
yangu bali yako yatendeke.Malaika kutoka mbinguini akamtokea
akamtia nguvu.
Wakati huo Yesu ndani yake nguvu za kukinywea kikombe zilikuwa zimepungua, msalaba alikuwa anaona ni mzigo mzito, lakini alizidi sana kuomba kwa mzigo mzito, baada ya maombi malaika kutoka mbinguni alishuka kumtia nguvu, unapoomba unaruhusu malaika wa Mungu kukutia nguvu katika hili jaribu unalopitia.

ZABURI 91:11-12.
Kwa kuwa atakuagizia malaika zake, wakulinde katika njia zako zote.
Mikono mwao watakuchukua usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Yesu alipoingia kuomba malaika alishuka hakuna njia nyingine yakuwashuasha malaika wa Mungu toka mbinguni isiokuwa kwa maombi, Unapoomba Mungu anaagiza malaika nenda kwa mtu wangu mkamtoe kwenye kibano cha shetani.

Ni maombi yangu kwako kuona unakuwa mshindi zidi ya majaribu yanayotaka kukutoa kwa Mungu, Endelea mbele wala usirudi nyuma kabisa simama tu na maombi Mungu atafungua mlango amba shetani alifanikiwa kuufunga, ni wewe pekee unayeweza ukamwambia shetani acha maisha yangu na akaacha maisha yako.
.
Ombeni kwamba msiingie majaribuni
Reviewed by adam
on
Januari 06, 2017
Rating:
![Ombeni kwamba msiingie majaribuni](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiyMBk57yQgp95rKSuVQf8_dV3Hca9mBCuarigacAteEMPi8AmSQ1AnQrG2tLC4BFSHVNrbxHmTx_8plGs1ec3eQ6aZWiXaiT8dpBWubdHNfYBmNwm6e5wT6NmoSpJ-nRVwHP6gR37JUpRX/s72-c/15219384_829068300567464_6240384121028183468_n.jpg)
Hakuna maoni: